Baadhi ya Warembo wa Miss Dar InterCollege wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa duka la Shear Illusions akiwapa maelezo ya namna ya kutumia vipodozi mbalimbali.