Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke ndani ya Sun Sirro


Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya usiku wa warembo uliondaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Tanzania mwaka huu. (Picha kwa Hisani ya Full Shangwe Blog)