3. Shamba la Mbogamboga la Wakulima wa Monduli wanaotumia Skimu ya Maji ya Kabambe ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya miradi ya ASDP inayosimamiwa na wadau wa maendeleo IFAD
3. Shamba la Mbogamboga la Wakulima wa Monduli wanaotumia Skimu ya Maji ya Kabambe ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya miradi ya ASDP inayosimamiwa na wadau wa maendeleo IFAD
1. Skimu ya Maji ya Kabambe iliyojengwa katika Wilaya ya Monduli kata ya Majengo kuwasaidia wakulima kupata maji kwa ajili ya kilimo cha Mahindi, Ndizi na Mbogamboga, ikiwa ni sehemu ya miradi inayoratibiwa na ASDP na kusimamiwa na wadau wa maendeleo IFAD .
4. Ofisa Miradi wa IFAD nchini Dk. Mwatima Juma pamoja na waratibu wa miradi mbalimbali akitoa maelezo kwa wakulima (Kulia) wanaotumia Skimu ya Maji ya Kabambe iliyopo katika jinsi ya kujipanga katika kilimo na kutunza chanzo cha Skimu hiyo iliyopo katika Wilaya ya Monduli katika kata ya Majengo Mkoani Arusha.