Wanakijiji wanaposaka masoko vijijini Mmoja wa wakazi wa Tarafa ya Ndungu akiwa amebeba mkungu wa ndizi hivi karibuni kuelekea sokoni, ambapo ni mji mdogo wa Tarafa ya Ndungu kilometa kadhaa kutoka Kijiji cha Ndugu (Picha na Mpiga Picha wetu, Same)