Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akihojiwa na DW mara baada ya mkutano wao. TBN imeunga mkono kampeni hizo zinazoongozwa na balozi wa kujitolea wa mapambano hayo, Henry Mdimu.
Baadhi ya wajumbe wa kampeni za imetosha wakipata picha za ukumbusho mara baada ya kuzungumza na wanahabari.

Mmoja wa wasanii anayeunga mkono kampeni za imetosha akizungumza na DW mara baada ya mkutano huo.
Mchoraji maarufu na mmoja wa wanakamati wa kampeni za imetosha Masoud Kipanya (kulia) akizungumza na DW.
Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya jhabari. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha.
Baadhi ya wanakamati wa kampeni maalumu dhidi ya kupinga mauaji ya albino wakizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Baadhi ya wanakamati wa kampeni maalumu dhidi ya kupinga mauaji ya albino wakizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)