
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wanahisa wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), wakna mkutano wao jana jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu 20 wa Mwaka 2012 wa Wanahisa wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakiendelea na mkutano wao jana.

Sekretarieti ya Mkutano huo, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu 20 wa Mwaka 2012 wa Wanahisa wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakiwa katika picha za pamoja.