Wanaharakati Kujadili Mrejesho Ukusanyaji Maoni Katiba Mpya

Wanaharakati ngazi ya jamii

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI DIANA KIDALA WA JUKWAA LA KATIBA

MADA: Mrejesho wa Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya na Mpango wa Kushiriki Mabaraza ya Katiba Mpya

Lini: Jumatano Tarehe 16/01/2013

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA