Wanafunzi Wanaosoma Kiswahili Wazindua Chama Dar

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akipanda mti kamakumbukumbu ya ya kuzinduliwa kwa tawi la CHAWAKAMA katika Chuo chaKumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jana jijini Dar es Salaam. Mti huo umepewa jina la CHAWAKAMA.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akizungumza wakati wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kiswahili Afrika Mashariki (CHAWAKAMA) katika Chuo cha Kumukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana.

Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza katika fani yaKiingereza na Kishwahili Bi. Fatma  Amour Hamad akiimba shairi wakati wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha Wanafunzi wanaosoma KiswahiliAfrika Mashariki (CHAWAKAMA) katika Chuo cha Kumukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kiswahili Afika Mashariki Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-CHAWAKAMA – MNMA jana jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija, WHVUM