Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Aziz Abood Akipokea Kiasi cha Shilingi 50000/= kutoka Kikundi cha Tushikamane Kata ya Kilakala kwa lengo la kumtaka mbunge huyo achukue fomu ya Kugombea Tena Ubunge wa Jimbo Morogoro Mjini. Wanachama wa Kikundi hicho wamesema wamesukumwa kufanya hivyo Mara baada ya kurishishwa namna Mbunge huyo anavyovisaidia vikundi nvya wajasiriamali wa Jimbo hilo.Hadi sasa Makundi Mbalimbali na wananchi Binafsi wamejitokeza Kumchangia na Kumshawishi Mbunge huyo kuchukua fomu na kugombea tena awamu nyingine ya ubunge wa jimbo holo..