Wanafunzi na Ujumbe wa Valentine Day, Matukio Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Wanafunzi wakiwa katika majadiliano kwenye vikundi. Wa pili kutoka kulia ni Meneja wa Habari TGNP, Lilian Liundi akiwasikiliza

Mwanafunzi Grace David kutoka Shule ya Sekondari Loyola alitoa ujumbe wa Siku ya Wapendanao (Valentine Day) ambao unasema “Mapenzi ya kweli hayawezi kuoneshwa kwa mtu kwa siku moja pekee, bali hali hiyo inapaswa kuwepo siku zote tofauti na mtazamo wa vijana wengi wanavyoichukulia kwa sasa “.

Ni wakati wa kwaito la kisasa na wanafunzi wa Sekondari ya Loyola katika Maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia Dar es Salaam

Picha ya pamoja ya baadhi ya Wanafunzi katika Maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia Dar es Salaam

Mmoja wa watoto walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia akitoa maoni yao

Watoto katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Sinza Tower wakiimba utenzi katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Sinza Tower wakiigiza katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Mwanafunzi (mbele) akiwasilisha maoni ya kundi lao mara baada ya majadiliano kwenye maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Lilian K (kulia) kutoka Idara ya Habari ya Mtandao wa Jinsia Tanzaniua (TGNP), akitoa ufafanuzi maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Deo Temba (aliyeshika kipaza sauti) kutoka Idara ya Habari ya Mtandao wa Jinsia Tanzaniua (TGNP), akitoa matangazo katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia

Meza kuu katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia