Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukaguzi, Dk. Edicome Shirima (anayekata utepe katikati) kutoka Wizara Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi akizungumza alipomwakilisha waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) wakikata utepe na meza kuu kuashiria uzinduzi huo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukaguzi, Dk. Edicome Shirima (anayekata utepe katikati) kutoka Wizara Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi akizungumza alipomwakilisha waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker wakishangilia na meza kuu baada ya uzinduzi huo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam wakitoa burudani katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kuwawezesha wanafunzi kujua umuhimu wa kutumia taasisi za fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi yao ya baadae, mpango huo unaendeshwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Wanawake Ulimwenguni (WWB).

Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakifuatilia matukio katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kuwawezesha wanafunzi kujua umuhimu wa kutumia taasisi za fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi yao ya baadae, mpango huo unaendeshwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Wanawake Ulimwenguni (WWB).

Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Mimani na wageni wengine wakifuatilia matukio katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kuwawezesha wanafunzi kujua umuhimu wa kutumia taasisi za fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi yao ya baadae, mpango huo unaendeshwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Wanawake Ulimwenguni (WWB).
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kuwawezesha wanafunzi kujua umuhimu wa kutumia taasisi za fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi yao ya baadae, mpango huo unaendeshwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Wanawake Ulimwenguni (WWB).
Msanii maarufu wa vichekesho, Joti akichekesha katika hafla hiyo.
Msanii maarufu wa vichekesho, Joti (kulia) akicheza na kufurai na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kuwawezesha wanafunzi kujua umuhimu wa kutumia taasisi za fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi yao ya baadae, mpango huo unaendeshwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Wanawake Ulimwenguni (WWB).
Sehemu ya wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kuwawezesha wanafunzi kujua umuhimu wa kutumia taasisi za fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi yao ya baadae, mpango huo unaendeshwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Wanawake Ulimwenguni (WWB).
Burudani kutoka kundi la One Star ikitolewa.
Burudani kutoka kundi la One Star ikitolewa.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukaguzi, Dk. Edicome Shirima kutoka Wizara Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Milimani kibubu maalumu kwa ajili ya kuifadhia fedha mmlipo.
Baadhi ya Wanafunzi katika Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam wakionesha vibubu vyao baada ya kugawiwa bure na Benki ya NMB.
Baadhi ya Wanafunzi katika Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam wakipokea zawadi ya vibubu kutoka kwa mmoja wa maofisa wa NMB leo.