Wanachama wa Ukonga Shule ya Msingi Wakutana…!

Baadhi ya wanachama waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukonga  wakipiga picha ya pamoja walipokutana  kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10.

Baadhi ya wanachama waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukonga wakipiga picha ya pamoja walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10.

1

Baadhi ya wanachama waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukonga  wakipiga picha ya pamoja walipokutana  kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10 ambapo walijadili masuala mbalimbali zikiwemo changamoto za kimaisha zinazowakabili na kubadilishana mawazo ikiwa ni pamoja na kuanzisha mikakati ya kujikwamua kiuchumi lakini pia kufurahi pamoja kwani ni muda mrefu walikuwa hawajakutana wanakikundi hao walipongeza Admin wao Paul Kasela kwa kuwakutanosha mojamoja na na kufanikisha kikao hicho muhimu na chenye kujenga na kufurahisha kwani ni muda mrefu walipoteana katika picha kuanzia kushoto ni Teddy, Solomon Balige, Edwin Mpododo, Lusu, Bokhe Wambura, Irene Mtangulwa, Charles Mwita, Janeth Joseph, David Mwara na Ashura.

3

Bhoke Wambura akipozi kwa picha na Ashura kulia na Teddy kushoto.

4

Wakipozi mbele ya kamera

5

Ilikuwa ni Furaha tu.