Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.
Mmoja wa maofisa wa mfuko wa PSPF akitoa ufafanuzi Wakati baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM walipotembelea makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar es Salaam.
Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.
Mmoja wa watangazaji kutoka Clouds FM, Gerald Hando akiuliza swali kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kushoto) akitoa ufafanuzi wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiingia kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.

Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.