
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akibebwa kwa shangwe wakati wa mapokezi yake alipowasili Kijiji cha Kimundo, Kata ya Nkoariasambu kufanya mkutano wa kampeni.

Sioi akisalimia wananchi baada ya kuwasili katika kijiji hicho cha Kimundo, Nkoroasambu.

Mfanyabiashara ya baa katika kijiji cha Kimundo, Seuri Daniel akiwa ameweka picha ya mgombea wa CCM Sioi Sumari Juu ya picha ya mgombea wa Chadema Joshua Nassari katika eneo lake na biashara. (Picha zote na Bashir Nkoromo).