Wana CCM Diaspora Watia Fora Kizota Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo

Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipozi na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK, Mariamu Mungula.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo