Moja ya hoteli za kitalii Wilayani Bagamoyo.
Kifusi kinacholalamikiwa kikiwa barabarani; Wamiliki wa Hoteli za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halmashauri hiyo kwa kutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika hoteli hizo, kwa kile kuacha kifusi kilicho mwagwa kwa zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli hizo kirahisi.