Waliofuzu Shindano la Guinness Football Challenge Wakabidhiwa Hati za Kusafiria

Emmanuel Temu mmoja ya washiriki waliofuzu kuingia kwenye mashindano ya Guiness Football Challenge akipokea hati ya kusafiria kutoka kwa Meneja wa kinywaji cha Guiness Davis Kambi.-1

Meneja wa kinywaji cha Guinness kutoka kampuni ya bia ya Serengeti akikabidhi hati ya kusafiria kwa Lukwesa Kanakamfumu, mmoja wa washiriki wa Guinness Football Challenge

Mratibu wa safari Bi. Caroline akitoa maelekezo na taratibu za safari kwa washiriki waliofuzu kuingia katika mashindano ya Guinness Football Challenge wanaotarajiwa kusafiri karibuni.