Msomaji wa Risala ya wakulima wa Bonde la Mpunga la
Muyuni,Wilaya ya Kusini Unguja,Maimuna Mwinyi,akisoma risala kwa niaba
ya wakulima wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
alipotembelea maendeleo ya kilimo katika bonde hilo .[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akifurahi na wakulima wa shamba darasa
la kilimo cha migomba wa Kijiji cha Tassani Makunduchi ,alipofika
kuona maendeleo ya kilimo hicho na kuzungumza nao,akiwa katika ziara
ya Wilaya ya Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Affani Othman Maalim,alipofika
Kijiji cha Tasani Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja ,kuangalia
ukulima wa kilimo cha Migomba,cha Kikundi cha Tujaribu Tasani
Makunduchi,alipofika kuona maendeleo ya kilimo hicho na kuzungumza na
wananchi wa Eneo hilo,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kusini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]