Wakimbizikutoka Burundi wakipatamaelezoyajinsiyakuishikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyopowilayaniKasulumkoaniKigomamarabaadayakuwasilikambinihapo. AnayetoamaelekezohayoniNayigaMireyewaShirika la MajinaUsafiwaMazingira (TWESA)linalofanyashughulizakekambinihapo
Koplo Flora Peter waKituo cha PolisikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuakiwaameshikiliavisu, panganafimbovilivyokutwakatikabaadhiyamizigoyawakimbizikutoka Burundi wanaowasilikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyokowilayaniKasulumkoaniKigoma. Vifaavyahatarikama vile visu, panga, fimbonamishalehaviruhusiwikumilikiwanawakimbiziwapyawanaowasilikambinihapo,kwasababuzakiusalama.
Mkimbizikutoka Burundi, PhilipoNyandungulu, akishukakutokakwenyebasibaadayakuwasilikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyokoKasulumkoaniKigoma.Idadiyawakimbizikutoka BurundiimekuwaikiongezekasikuhadisikunaWizaraya MamboyaNdaniyaNchikwakushirikiananaShirika la UmojawaMataifa la kuhudumiaWakimbizi (UNHRC) imekuwaikiwahifadhikwamudakatikakambihiyo
Watotowamojayafamiliayawakimbizikutoka Burundi wakielekezwakuingiakatikamakaziyaomarabaadayakuwasilikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyokokatikawilayayaKasulumkoaniKigoma. AnayeelekezanimfanyakaziwaShirika la MajinaUsafiwaMazingira (TWESA) linalofanyashughulizakekatikakambihiyo
Mkimbizikutoka Burundi, NibarujaEuropernce , akihamasishawenzakewanaowasilikatikakambiyawakimbiziyaNyarugusuiliyokowilayaniKasulumkoaniKigomakuhusutaratibuzakuishikambinihapoikiwaninipamojanakutekelezamasualamuhimuyakiafya