
Pichani juu ni wajumbe wa Tanzania Katika Majadiliano na Ujumbea wa Benki ya Dunia Juu ya Namna ya Kuboresha Utendaji na Kuliletea Maendeleo Taifa



Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. Silvacius Likwelile pamoja na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango akiwasilisha mpango wa maboresho katika Elimu, Maji, Nishati, Usafirishaji, Rasilimali Fedha na Kilimo.


