Wajumbe wa Benki ya AfDB kutoka Tunisia wazuru Tanzania

Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) kutoka mjini Tunis nchini Tunisia wakiwa na Ujumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaotarajiwa kuwafanyika nchini mwezi Mei mwakani (2012) jana mjini Arusha wakiangalia eneo mbalimbali ambapo mkutano huo utakaponyika.


Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa Ujumbe kutoka AfDB nchini Tunisa akisisitiza jambo kwa lengo la kufanikisha Mkutano wa Benki ya Maendeleo Antoinette Batumubwira (kulia). Wengine ni Kamishna wa Fedha za Nje, Said Magonya (katikati) na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa AICC Savo Mung'ong'o. (Picha na Tiganya Vincent, Arusha)