Wajumbe 85 Kutoka Serikali za Mitaa China Wapokelewa Dar

Waziri wa Nchi Ofisi wa Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia (kulia) akizungumza jambo na Kiongozi wa msafara wa wajumbe  85 kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana  wa Jimbo la Shandong  Xia  Geng(katikati) kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa jijini Dar es Salaam. Ujumbe huo umehusisha, magavana, mameya na wafanyabiashara ambao wamewasili nchini leo mchana kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika masuala ya Serikali za Mitaa, biashara na uchumi.

233 Balozi wa China nchini Lu Youing akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dares Salaam, Said Mecky Sadick.

Baadhi ya ujumbe wa watu 85 kutoka Serikali za Mitaa za China. Ujumbe huo umehusisha, magavana, mameya na wafanyabiashara ambao wamewasili nchini leo mchana kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika masuala ya Serikali za Mitaa, biashara na uchumi.

Baadhi ya ujumbe wa watu 85 kutoka Serikali za Mitaa za China. Ujumbe huo umehusisha, magavana, mameya na wafanyabiashara ambao wamewasili nchini leo mchana kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika masuala ya Serikali za Mitaa, biashara na uchumi. Picha na Magreth Kinabo – Maelezo