Waigizaji Waliowika Zaidi Kwa Mafanikio Mwaka 2015

1
1. Monica Bellucci
Katika listi ya ubora wa warembo wa mwaka 2015 Monica Bellucci ambaye alizaliwa Cittadi Castello, nchini Italy, ameshika namba moja ambapo ana umri wa miaka 16 katika fani,na anajilipia ada ya masomo katika chuo kikuu cha Perugia.

Muigizaji huyo kutoka Nchini Italia aliondoka Mjini Milan mwaka 1988 na kuanza kazi yake ya uwanamitindo na uigizaji kwa muda wote kuanzia miaka ya 1990 huko Paris na New York
Bellucci ameshafanya kazi nyingi ikiwemo Tears of the Sun, The Matrix Reloaded, The Passion of the Christ, The Brothers Grimm, Le Deuxième souffle , Shoot ‘Em Up, Don’t Look Back, and The Sorcerer’s Apprentice
2. Kate Upton
Huyu ni American mwanamitind na pia ni mwigizaji jina lake kamili ni Katherine Elizabeth, ila‘Kate Upton’ndilo linalomweka mjini, alizaliwa June 10 katika hospitali ya St.

Amekuwa maarufu zaidi kwenye majarida mbalimbali yakiwemo Vogue Italia, British Vogue, CR Fashion Book, Cosmopolitan, French ELLE, GQ, Italian GQ, German GQ, Esquire, The Daily.

Pia alishawahi kushiriki mashindano mbalimbali na kuingia katika tano bora ya warembo mwaka 2012 katika shindano la MODELS lililoshindanisha zaidi ya warembo100 na pia kuingia katika top 10 ya miss Dunia mwaka jana
2
3. Angelina Jolie
Angelina Jolie ni moja wa waigizaji wanaotamba Hollywood .Jolie aliwahi kushinda tuzo ya kuwa mwanamke bora anayechipukia katika tasnia hiyo
Amekuwa akipata shavu kutoka katika familia ya Smith,na alikuwa moja ya waigizaji wanaolipwa mpunga mrefu Hollywood mwaka 2009, 2011 and 2013. Angelina Jolie amekuwa barozi mzuri katika shirika la wakimbizi la Dunia mwaka 2001 hadi 2005 huko Cambodia, Darfur na Jordan.
3
4. Aishwarya Rai Bachchan
Ni msindi wa miss Dunia mwaka 1994, Aishwarya Rai Bachchan ni raia wa India,alizaliwa November 01,1973,alianza kazi hiyo akiwa chuoni na kufanikiwa kupata mazali mengi ya matangazo kwenye Televisheni
Aishwarya alitambulishwa katika tasnia ya uigizaji na Sanjay Leela Bhansali akiongozwa katika filamu ya ‘Hum Dil De Chuke Sanam’ Devdas, however, na Dhoom 2, Akbar na Guzaarish.
4
5. Irina Shayk
Alizaliwa huko Yemanzhelinsk, Russia, Irina Shayk anajulikana kama Muigizaji na Mwanamitindo na aliatamba zaidi mwaka 2007 na kuwa gumzo katika majarida
Mwaka 2011 jarida moja nchini Hungari “Periodika” lilimwandika kama mwanamke mrembo zaidi Duniani
5
6. Meryem Uzerli
Meryem anaasili ya Uturuki na Ujerumani alizaliwa August 12,1983, amekuwa maarufu kwenye vipindi vya Televisheni, pia ameshaigiza filamu kama ‘Mera Sultan’ as Hurrem Sultan, na Journey of No Return and Jetzt aber Ballett mwaka 2010 na kupata tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya ‘Silver Horse Award’, ‘TV Stars Award’, ‘Turkey GQ Awards’, ‘11th Stars Award Ceremony’
6
7. Charlize Theron
Charlize Theron raia wa America ya kusini ambaye anajihusisha na uigizaji, produza na mwanamitindo , alianza kujitokeza tangu miaka ya 1990. lakini mafanikiao yake yalianza kuja 2003, ameshinda tuzo ya Academy Award, Silver Bear, Golden Globe Award na

Filamu ambazo ameziongoza ni ‘North Country’, ‘Monster’, ‘Young Adult’, ‘Prometheus’ na‘Snow White and the Huntsman’
7 charlize Theron
8. Amber Heard
Mwigizaji kutoka American na pia ni mwanamitindo alizaliwa 1986,alianza kuonekana katika‘All the Boys Love Mandy Lane’ na kutamba katika filamu ya ‘Never Back Down’ mwaka 2008, kisha ‘The Informers’, ‘The Stepfather’, ‘Zombie land’ and ‘The Joneses’
8