Mwenyekiti Mtendaji TAJOA, Simon Mkina, na Makamu Mwenyekiti Fredy Kihwele, wakiwa na maofisa wa magereza Njombe baada ya kukabidhi magazeti kwa ajili ya wafungwa kujisomea. TAJOA hutoa habari bure. (Picha zote na Mjengwa Blog)
Mwenyekiti Mtendaji wa Jumuiko la Wanahabari Tanzania (TAJOA), Simon Mkina, akiwaeleza kitu maofisa wa magereza Njombe baada ya kukabidhi magazeti kwa ajili ya wafungwa kujisomea. TAJOA imeanza kutoa habari bure kwa wafungwa.