
2. BaadhiyaWafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharaambaoniwajumbewaBaraza la WafanyakaziwanaoshirikimkutanowaoJijiniDsm
WafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharawametakiwakuongezajuhudinaubunifukatikautendajiwakaziilikuiwezeshaWizarahiyokufikiamalengoyakeiliyojiwekea.
WitohuoumetolewanaWaziriwaViwandanaBiasharaMhe.DktAbdallahKigoda, wakatiakifunguaMkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikakwasikumbiliJijini Dar Es Salaam.

1. WaziriwaViwandanaBiasharaDktAbdallahKigoda( Katikati), KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussa( Kushoto) naNaibuKatibuMkuuwaWizarahiyo Bi Maria Bilia (Kulia), wakifuatiliamkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikaJijiniDsm.
Dkt. Kigodaamesema, WizarayaViwandanaBiasharainajukumukubwakatikakuboreshaUchumiwaNchihivyowafanyakazihawanabudikufanyakazikwabidiinaubunifuilikuiwezeshaWizarakupatamatokeoyaliyokusudiwa.
“Fanyenikazikwabidii, kwamaarifanaubunifumkubwa. Epukeniuzembe, ukiritimbausionasababuzamsinginazaidiyayote, tujitangazeiliUmmaufahamukikamilifujitihadazetukatikakukuzauchumi’’.
AwaliakimkaribishaMhWaziri, KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussaamesema, UongoziwaWizarahiyoutaendeleakufanyajitihadazakuboreshamaslahiyawafanyakazi, mazingirayakufanyiakazinakuondoakerombalimbalimbalizinzowakwazawatumishi.
Kwaupande wake MtoamadakatikaMkutanohuo Bi HonestaNgollykutokaambaeniAfisaElimuKazikutokaTumeyasUsuluhishinaUamuzi CMA, amewatakawatumishinaViongoziwaWizarakutimizawajibuwao, kuheshimusherianamiongozoyakaziilikuepushamigogorokatikasehemuzakazi.