Wafanyakazi wa Airtel wachangia damu jijini Dar leo!

 

 

Diocles Kaimukilwa, mtaalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (kushoto) akichukua damu ya Felix Gama, ambaye ni mmoja kati ya wafanyakazi zaidi ya mia moja wa Airtel waliochangia damu leo hii. Kampuni ya mawasilano ya Airtel hapa nchini imeratibu zoezi la wafanyakazi wake kujitolea damu kwa ajili ya kuwasaidia watoto wenye ugonjwa wa kansa walio katika hospitali za Muhimbili National Hospital na Ocean Road, zote za jijini Dar es Salaam.

 

Judith Charle, mtaalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (kushoto) akichukua damu ya Mariam Mfinanga, ambaye ni mmoja kati ya wafanyakazi zaidi ya mia moja wa Airtel waliochangia damu leo hii. Kampuni ya mawasilano ya Airtel hapa nchini imeratibu zoezi la wafanyakazi wake kujitolea damu kwa ajili ya kuwasaidia watoto wenye ugonjwa wa kansa walio katika hospitali za Muhimbili National Hospital na Ocean Road, zote za jijini Dar es Salaam.

 

Diocles Kaimukilwa, mtaalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (kushoto) akichukua damu ya Mohammed Gulamali, ambaye ni mmoja kati ya wafanyakazi zaidi ya mia moja wa Airtel waliochangia damu leo hii. Kampuni ya mawasilano ya Airtel hapa nchini imeratibu zoezi la wafanyakazi wake kujitolea damu kwa ajili ya kuwasaidia watoto wenye ugonjwa wa kansa walio katika hospitali za Muhimbili National Hospital na Ocean Road, zote za jijini Dar es Salaam.