Wafanyakazi Tambaza Waomba Rushwa ‘Live’

Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000

Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000

 

AGIZO la Serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya vijana walioajiriwa kuhakikisha agizo linatekelezwa. Hii imethibitika baada ya mwandishi wa habari hizi kufumania tukio la vijana wa jiji wakidai rushwa wazi wazi bila woga kwa mwendesha pikipiki wa magurudumu watatu maarufu kama bajaji.

Kachero wetu (jina limehifadhiwa) alifanikiwa kupata picha za wala rushwa pamoja na kunasa sauti za tukio lote.

IMG-20160203-WA0009

Baadhi ya wafanyakazi wa Tambaza wakiwa pembezoni ya barabara katika daraja la Salenda.

IMG-20160203-WA0010

Mmoja wa mfanyakazi wa Tambaza akisimamisha bajaji.

IMG-20160203-WA0014

 

IMG-20160203-WA0012

Wafanyakazi wa Tambaza (walio na mashati ya rangi nyeupe) wakizungumza na dereva wa bajaji.

  Chanzo Mo Blog