Mkurugemzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda akitunzwa na Meneja Miradi Endelevu na Uwajibikaji wa SBL, Nandi Mwiyombela kwa kutoa burudani ya aina yake wakati wa tafrija hiyo ya kumuga Richard Wells.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wapili kushoto) akiwa katika Picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve Gannon (wapili kulia) na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Richard Wells (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL Teddy Mapunda wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Wells iliyofanyika Kiwanda cha SBL mjini Moshi hivi karibuni.
“Hapa kazi tu…” Mkurugemzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda na Mkurugenzi wa Masoko, Epraim Mafuru wakiimba wakati wa tafrija hiyo ya kumuaga Richard Wells.
Richard Wells akicheza muziki na Wafanyakazi wa Kiwanda cha SBL mjini Moshi wakati wa tafrija ya kumuaga.
Mama Tundu Pinda akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL aliyemaliza muda wake, Richard Wells wakati wa tafrija ya kumuaga iliyofanyika kiwanda cha SBL mjini Moshio hivi karibuni.