Wafanyakazi MUWASA Wamuaga Mkurugenzi

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TUICO tawi la Muwsa,Maulid Barie akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wakati wa kikao cha kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi ,Cyprian Luhemeja aliyehamishiwa Dar es Salaam kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, (MUWASA) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco, Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa MUWASA, Mhandisi Patrick Kibasa ,karatasi zenye ndoto za wafanyakazi wa Mamlaka hiyo hukuakimtaka kuzifanyia kazi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira.

Mhandisi Luhemeja akiagana na wafanyakazi wa MUWASA. Picha  na Dixon Busagaga.

Mhandisi Luhemeja akiagana na wafanyakazi wa MUWASA.
Picha  na Dixon Busagaga.