Wabunge Kamati ya Maendeleo Miundombinu Watembelea Daraja Kigamboni

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu ikiwa katika ziara katika mradi wa daraja la Kigamboni ikiwa ni ratiba ya kamati mbalimbali kutembelea miradi mbalimbali.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu, Prof Richard Sigalla akitoa ushauri kwa katibu Mkuu wa Wizra ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati kamati hiyo ilipotembelea mtadi wa daraja la Kigamboni.

Mhandisi wa mradi wa daraja la Kigamboni Mhandisi Hamis Mattaka akitoa maelezo kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga akifafanua jambo kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSf, Prof. Gidius khayarara.

Eneo la sehemu ya kuingilia katika Daraja jipya la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni. Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO

Eneo la sehemu ya kuingilia katika Daraja jipya la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu, Prof Richard Sigalla akizungumza na Mhandisi wa maradi wa daraja la Kigambon Mhandisi Hamis Mattaka kuhusu maendeleo ya mradi wakati kamati ya kudumu ya Bunge ya maendeleo ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo.