
Wabunge wa CHADEMA, Peter Msigwa wapili kushoto, Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo Janja, (Watatu kulia), Ofisa wa Ubalozi, Kaimu Balozi, Lilian Munanka pamoja na viongozi wa tawi la CHADEMA Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi, Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei 29, 2012 Washington Dc Nchini Marekani.