VOICE FOR DEMOCRACY AND HUMAN RIGHTS CENTRE KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA TANZANIA.

Rais wa Taasisi ya Voice For Democracy And Human Rights Centre nchini Bw. Hashim Rungwe akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu taasisi yake itakavyotoa elimu pamoja na kukusanya maoni ya wananchi Tanzania kuhusu mchakato wa marekebisho ya katiba ya Tanzania. (Mwengine) ni katibu mkuu wa Voice For Democracy And Human Rights Centre Mwl. Richard Mfune.

Picha na habari kwa hisani ya Full Shangwe Blog