Vodacom Yakutanisha Wateja Katika Punguzo Kubwa la Bei za Simu

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya Rejareja wa Vodacom, Upendo Richard akizungumzia gulio la

Ofisa Uhusiano wa Vodacom, Martina Nkulu (kushoto) akimuonesha mmoja wa wateja waliotembelea gulio la punguzo la simu linalofanyika viwanja vya Leaders Club leo.

Burudani pia zipo katika gulio la ‘Vodacom Expo’

Burudani pia zipo katika gulio la ‘Vodacom Expo’

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Baadhi ya wateja wakitembelea mabanda mbalimbali ya kampuni za uuzaji simu za mikononi kujipatia simu wanaozihitaji leo viwanja Leaders Club.

Wapo pia wauzaji wa laptop kwa ajili ya wateja wa Vodacom.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MTANDAO wa Simu za mkononi wa Vodacom Tanzania unakutanisha wateja wake wa simu katika punguzo kubwa la simu za mkononi aina mbalimbali ‘Vodacom Expo’ katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Zoezi la kuwakutanisha wateja mbalimbali kununua simu aina mbalimbali za mkononi zikiwa na punguzo kubwa limeanza leo jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Leaders na litafanyika hadi kesho Jumapili jioni.

Akizungumza mtandao huu katika viwanja hivyo, Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya Rejareja wa Vodacom, Upendo Richard alisema kampuni hiyo imewaleta makampuni anuai wauzaji wa simu za mkoni na kuwezesha wao kufanya gulio la uuzaji wa simu kwa punguzo hadi asilimia 50.

Alisema lengo ni kuwawezesha wateja wa Vodacom kupata simu za kisasa na zinazokidhi mahitaji yao kwa bei nzuri ili waendelee kufuraia huduma za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo. Alisema katika gulio hilo pia kutakuwa na watoa huduma mbalimbali ambao watashughulikia matatizo ya simu za mkononi pamoja na huduma zingine kwa wateja watakaofanikiwa kutembelea viwanja hivyo.

“…Vodacom Expo kikubwa tunachokifanya si kuwaleta wadau wetu wauzaji simu na simu nyingi tu, bali pia kuziuza simu hizo kwa bei ya chini…hichi tunakifanya kwa kuwa tunaamini kwamba Watanzania wengi wanahitaji kuwa na simu nzuri ‘smart phone’ lakini gharama za simu hizi zipo juu kwa hiyo tunajitahidi Vodacom kuleta punguzo kwa simu kama hizo ili wateja wetu wanufaike,” alisema.

Aidha alisema gulio hilo la simu kwa punguzo kubwa hadi kufikia asilimia 50 kwa baadhi ya simu linafanyika kwa simu mbili yaani Jumamosi na Jumapili ili kuwawezesha wateja wa Vodacom kupata fursa hiyo ya punguzo la bei ya simu.
“…Tunawaomba wateja wetu na wananchi wengine wafike hapa viwanja vya Leaders Club ili waweze kujipatia simu nzuri na za kisasa wazipendazo kwa punguzo la bei hadi asilimia 50 kwa baadhi ya simu,” alisema Bi. Richard.
*Imeandaliwa na www.thehabari.com