
Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akimshukuru Ofisa Elimu ya Sekondari Wilaya ya Sumbawanga, Emilia Fungo mara baada ya hafla fupi ya kukabidhi vyumba viwili vya madarasa ya Shule ya sekondari Lusaka wilaya ni humovyenyethamaniya sh. milioni 37 viivyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation.