
: Warembo wa Vodacom miss Sinza waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.

Vodacom miss Sinza Felista Philip akipunga mkono baada ya kutwaa taji hilo katika shindano lililofanyika jana ukumbi wa Vatican City. kushoto ni mshindi wa tatu Husna Maulid na mshindi wa pili Naomi Jones .

Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Bw. Songoro Mnyonge akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Vodacom Miss Sinza Felista Philip zawadi ya shilingi 600,000. Kutoka kulia ni mshindi wa tatu Husna Maulid ,mshindi pili Naomi Jones wakishuhudia.