Vodacom inavyowasaidia wakulima nchini

Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa akimpatia Mwanaidi Musa mkopo wa fedha taslimu kwa ajili ya kufanyia biashara zake na kuzirudisha fedha hizo bila riba yoyote, aliyekaa kushoto ni Mratibu wa Mfuko huo Ally Mbuyu.

Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI, Mwamvua Mlangwa akizungumza na wakinamama wajasiriamali wadogo wadogo wa Kijiji cha Kitangari Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, kabla ya kuanza kuwapatia mikopo ya fedha taslimu zinazotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wa MWEI unaowakopesha wakina mama hapa nchini na kurudisha fedha hizo bila riba.

Wakinamama wajasiriamali wadogowadogo wa kijiji cha Kitangari Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, wakimsikiliza Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa hayupo pichani, wakati wakisubiri kupatiwa mikopo yao ya fedha taslimu zinazotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI unaowakopesha wakina mama hapa nchini bila riba.