Viwanja Vinauzwa, Jijini Mwanza

Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University.
Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95
na 96 kama vinavyoonyeshwa katika ramani hiyo. Kiwanja namba 95 ukubwa
wake ni 2431 sm na namba 96 ni 2766 sm square mmiliki ni mmoja na kuna
miti na nyumba, bei 450 milioni.
Mawasiliano zaidi ni +255 757181351,
Madalali hawahitajiki.