VIUMBE wa ajabu wanadaiwa kuonekana katika Ziwa Natron. Ziwa hili ambalo wataalamu wanasema lina kiwango kikubwa cha ‘Alkaline’ ambayo imekuwa ikiwaathiri viumbe wanaokuwa karibu na maji hayo kwa kuchoma ngozi na macho inabadili muonekano wa viumbe hivyo. Hizi picha zimepigwa kwenye ziwa Natron, ziwa ambalo ninajulikana kwa kuwa na “alkaline” ya juu iliyopo kwenye vipimo vya PH9-PH 10.5, inachoma ngozi na macho ya wanyama ambao wanakuwa karibu na maji. Angalia picha mwenyewe ujionee viumbe hawa.