Rais Dk. Jakaya Kikwete akiongea na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria Kongamano la Mabadiliko ya Katiba lililokuwa linafanyika katika Ukumbi wa Karimjee. PICHA NA IKULU.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria Kongamano la Mabadiliko ya Katiba lililokuwa linafanyika katika Ukumbi wa Karimjee. PICHA ZOTE NA IKULU.