![Kilio kwa Boban](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/3.jpg)
Boban akilia kwa uchungu
![Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/14.jpg)
Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.
![Boniface Pawasa akiangua kilio huku akifarijiwa](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/151.jpg)
Boniface Pawasa akiangua kilio huku akifarijiwa
![Baadhi ya mashabiki wa Simba wakiwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili kushuhudia mwili wa Mafisango.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/62.jpg)
Baadhi ya mashabiki wa Simba wakiwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili kushuhudia mwili wa Mafisango.