Vijana Wapewa Mafunzo Juu ya Mikopo, Kasulu-Kigoma

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa akitoa mada kuhusu Sera ya Maendeleo ya Vijana na Stadi za Maisha kwa baadhi ya Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Buhigwe  leo katika Ukumbi wa Kituo cha Utamaduni Wilayani Kasulu.

Baadhi ya Vijana wakifuatilia mada zilizokuwa zilizokuwa zikiwasilishwa na Mkuu  Mkuu wa Kitengo cha Sheria Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa haypo pichana leo mjini Kasulu.

Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa maada kuhusu Mwongozo wa Mkopo wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo Wilayani Kasulu wakati wa mafunzo kwa Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Buhigwe.Jumla ya Vijana 66 wamehudhuria mafunzo hayo.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Bw. Bernard Ntikabuze (kushoto)  akiagana na akipeana mkono na Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga wakati walipotembelea ofisini kwa Mkurugenzi huyo leo. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa.

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Dani Makanga akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliofika ofsini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuendelea na ratiba yao ya mafunzo kwa Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Bihigwe leo mjini Kasulu. Katikati ni Mkuu wa msafara huo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Vijana wa wizara hiyo Bi. Amina Sanga.