Vijana 300 Wajaribiwa Kujiunga na NSSF-Real Madrid Sports Academy Dar

Baadhi ya Vijana takribani 300 ambao jana walifanyiwa majaribio katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam kabla ya kupatikana watakaofuzu kujiunga na Kituo cha Michezo cha NSSF-Real Madrid Sports Academy wakipata picha ya ukumbusho.

Baadhi ya Vijana takribani 300 ambao jana walifanyiwa majaribio katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam kabla ya kupatikana watakaofuzu kujiunga na Kituo cha Michezo cha NSSF-Real Madrid Sports Academy wakiwa katika zoezi la majaribio.

Kushoto ni mmoja wa wazazi aliyemleta mtoto wake kujiandikisha kushiriki mchakato wa usajili wa zoezi linaloendelea akijisajili kuwa mwanachama wa NSSF katika viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam.

Wakati huo huo; Mashindano ya NSSF Media cup yanaendelea katika viwanja vya TCC Chang’ombe na Bandari Jijini Dar es Salaam, yakihusisha mpira wa miguu na mpira wa Pete ambapo vyombo mbalimbali vya Habari vinashiriki michezo hiyo.
Mashindano hayo yanaambatana na wiki ya Huduma Kwa wateja ya NSSF ambapo wateja watapata fursa ya kupata elimu kuhusu huduma za NSSF. Kama wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam Tafadhali tembelea banda la NSSF katika viwanja vya TCC Chang’ombe kuanzia Tarehe 20/03/2015 hadi Tarehe 29/03/2015 saa 03:00 asubuhi hadi 11:00 jioni. Mwanachama ataweza kupata taarifa ya michango yake, Kujiandikisha Kwa Wanachama wapya na vile vile watapata elimu kuhusu huduma mbalimbali za NSSF.