Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. PICHA NA IKULU
Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. PICHA NA IKULU.