Uzinduzi wa Skuli ya Madungu Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,Akifungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba
jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu yaZanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kufungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya
Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali
Juma Shamuhuna,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed
Shein,akitembelea katika chumba cha maktaba ya Skuli ya Sekondari ya
Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,baada ya kuifungua rasmi katika
kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto)
Mwalimu Mkuu Mohamed Omar Shamte. {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}