Uzinduzi wa Serengeti Fiesta Dar es Salaam

 

Tayari Serengeti Fiesta imeshazinduliwa katika mikoa minne ambapo uzinduzi huo umefanyika kwa pamoja katika mikoa ya Dar es salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha, mashabiki wote kaeni mkao wa kula, kwani wakati ratiba ya maonesho ya Serengeti Fiesta itakapoanza nenda kajionee mwenyewe na si kusimuliwa. Pichani vijana waliovalia fulana maalumu zilizoandikwa Serengeti Fiesta Miaka 10 wakicheza katika hafla ya uzinduzi huo Dar es Salaam jana (Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog)