|
||
Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Mhe. Nape Mnauye akizindua rasmi msimu mpya wa Tigo Fiesta 2016 kwa kunyanyua juu bendera maalum kwa kushirikiana na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na viongozi mbalimbali kwenye viwanja vya furahisha jijini Mwanza jana. |
IMOOOOO! |
Wanakikundi wa chuo cha kilimahewa wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Fiesta Jijini Mwanza. |
Wanakikundi wa utamaduni vijana wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza. |
Wanakikundi wa utandawazi kutoka ukeerewe wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza jana. |