Uzinduzi Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande. PICHA NA IKULU.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.

Uzinduzi Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa

Uzinduzi Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijichanganya na wageni waalikwa ambao ni mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika pamoja na wana Jumuiya ya Watanzania baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijichanganya na wageni waalikwa ambao ni mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika pamoja na wana Jumuiya ya Watanzania baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi
wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.