UUNGWANA NI VITENDO: VODACOM YAFARIJI WAHANGA WA MABOMU!

 Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Bi Mwamvita Makamba pamoja na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha na kuwakabidhi vyakula mbalimbali wafanyakazi wa Red Cross waliopo katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kutoa huduma kwa waathirika wa janga la milipuko ya mabomu huko Gongo la Mboto jijini Dar.

Picha na habari kwa hisani ya Michuziblog