Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez (katikati) akiwa ameongozana na Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya Umoja wa Mataifa , Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Celestine Mushi (kushoto) na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya mkoani Kilimanjaro, Rosalia Flavian wakiingia katika ukumbi wa shule hiyo kwa ajili kongamano.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru , Rosalia Flavian akizungumza wakati wa Kongamano hilo.
Baadhi ya Walimu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru wakifuatilia maelezo ya awali yaliyotolewa na Mkuu wa Shule hiyo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru akiteta jambo na Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez.
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez.
Mtaalamu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akizungumza katika kongmano hilo.
Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya Umoja wa Mataifa ,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Celestine Mushi akitoa mada kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu .
Baadhi ya Wananfunzi wa Shule ya Sekondari ,Weruweru wakiwa wameshikilia vibao vinavyoonesha baadhi ya malengo mapya ya maendeleo endelevu wakati Balozi Mushi akiwasilisha mada .
Balozi Mushi akionesha Malengo mapya 17 ya Maendeleo Endelevu kwa wananfunzi wa Shule ya sekondari Weruweru wakati akiwasilisha mada.
Balozi Mushi akitoa zawadi ya Pesa kwa wanafunzi wawili wa kidato cha Tano na Sita katika shule ya sekondari ya Wasichana ya Weruweru baada ya kuuliza na kujibu vyema maswali .