Utitiri wa Wananchi Wampokea JK Gairo

Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. PICHA ZOTE NA IKULU.

Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wazee wa mji wa gairo waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.

Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.

Mbunge wa Gairo, Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.

Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014.

Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. PICHA ZOTE NA IKULU